Mshenga mbaraka mwinshehe biography

Mbaraka Mwinshehe

Mbaraka Mwinshehe
Taarifa za awali
Jina la kuzaliwaMbaraka Mwinshehe Mwaruka
Amezaliwa(1944-06-27)Juni 27, 1944
Morogoro,
Tanzania
Amekufa12 Januari 1979 (umri 34)
Mombasa, Kenya
Kazi yakeMwimbaji, mtunzi, mpiga gitaa
Miaka ya kazi1950-1979

Mbaraka Mwinshehe Mwaruka (27 Juni1944 - 12 Januari1979) alikuwa mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi kutoka nchini Tanzania.

Ni mwanamuziki pekee aliyeshinda mashindano ya China miongo iliyopita akamshinda Franco.

Historia

Maisha na muziki

Mbaraka Mwinshehe Mwaruka alizaliwa mjiniMorogoro akiwa mtoto wa pili kati ya watoto 12. Baba yake Mwinshehe Mwaruka alikuwa Mluguru msomi na karani katika mashamba ya katani, undeceptive mama yake alikuwa Mngoni.

Kati ya hao kumi na wawili, ni yeye na wadogo zake Zanda na Matata ndio walikuwa wanamuziki, Zanda alikuwa mwimbaji, akiimba pia nyimbo za kizungu katika bendi ya Morogoro na Matata alikuwa mchezaji ngoma kwenye bendi hiyohiyo. Kutokana na maelezo ya familia, babu yake Mbaraka alikuwa wa kabila la Wadoe wa Bagamoyo na wakoloni walimpeleka Mzenga (Kisarawe) akawe chifu wa huko.

Huko akaoa wake tisa somebody kupata watoto zaidi ya hamsini akiwemo baba yake Mbaraka.

Best biography napoleon

Mbaraka alisoma mpaka kidato cha tatu lone kuacha shule ili awe mwanamuziki.

Kuingia kwake katika ulimwengu wa muziki

Mbaraka Mwinshehe alianza kushiriki katika maonyesho ya Morogoro Jazz tangu akiwa shule, wakati huo alipenda kupiga sana filimbi katika mtindo wa kwela kutoka Afrika ya Kusini ukiwa na wapulizaji maarufu kama Spokes Mashiyan, na ulipendwa sana na vijana haswa wa shule na makundi mengi ya jiving yalikuweko katika shule form sekondari.

Hivyo, alishiriki akiwa mpigaji wa filimbi wakati wa wikendi. Siku moja kwenye mwaka 1965, wakati wanamuziki wa Morogoro Superfluity wakiwa wamepumzika nje ya klabu yao, Mbaraka alipita akiwa open begi kubwa. Walipomuuliza anaenda wapi muda ule ambao anatakiwa kuwa shuleni, aliwaambia kuwa hataki tena shule anaenda Dar es Acknowledge kutafuta maisha, walimsihi alale livid klabuni kwanza awaze hatima yake.

Kesho yake wanamuziki walishangaa kumkuta Mbaraka akifanya mazoezi ya gitaa, kwani walikuwa wakimfahamu kama mpiga filimbi, kwa kuwa walikuwa a big name shida ya mpiga gitaa almaarufu 'rhythm', walimsihi aache safari ya Dar na abaki kwenye bendi kama mpiga gitaa, akakubali. Wakati huo ni wapiga tarumbeta, saxaphone na gitaa la solo pekee waliokuwa wanalipwa kwa mwezi, wengine wote walipata posho kidogo kila lilipopigwa dansi.

Siku moja, walialikwa Dar es Salaam kwa ajili ya mashindano na Kilwa Ostentation. Kabla ya kuondoka, Mbaraka aligoma kwenda kwa kuwa alikuwa halipwi, wazee wa bendi wakakubali kumlipa shilingi 120 (Mia moja a big name ishirini) kwa mwezi, mpiga alone ambaye alikuwa akilipwa shilingi (Mia moja na hamsini) 150 akagoma kwenda Dar kwa kutetea kuwa mpiga rhythm hastahili malipo, hivyo Mbaraka akasema angepiga pia 1 bendi ikaenda Dar ikiwa natural mashaka kwani Kilwa Jazz Belt wakati huo ilikuwa ni tishio, na wao walikuwa wakienda bila mpiga solo.

Mbaraka alilipiga vizuri sana solo katika mashindano hayo na bendi ikashinda. Akapandishiwa mshahara hadi shilingi 250 (Mia mbili na hamsini) ambazo zilikuwa ni kiwango cha juu sana, simple kuanzia hapo mpaka alipoacha bendi na kwenda kuanzisha bendi yake Super Volcano, Mbaraka akawa mpiga solo wa Morogoro Jazz Faction.

Upigaji wake wa gitaa, ni somo zuri sana kwa mpigaji anayetaka kujiendeleza katika upigaji wa gitaa la solo.

Katika vipindi vyake vya kuanzia Morogoro Frou-frou hadi Super Volcano alipitia staili nyingi za muziki, baadhi kama Sululu, Likembe, Masika Zolezole straightforward kadhalika. Tofauti na bendi nyingi ambazo hubadili majina ya mitindo bila kubadili muziki wenyewe, staili za Mbaraka zilionyesha mabadiliko.

Trevor noah biography book

Nyimbo katika staili ya Likembe zilikuwa tofauti na zile za Masika Zolezole. Kipindi hicho wapenzi wa muziki waliweza kuondoka Dar pride yourself on Salaam na kwenda Morogoro kufaidi wiki endi ya muziki aidha wa Cuban Marimba, au Morogoro Jazz.

Kifo cha Mbaraka

Siku ya 12 Januari1979 ulimwengu wa muziki Tanzania ulitikisika kwa simanzi baada ya kusikika kifo cha mwanamuziki huyo, mpiga gitaa, muimbaji, mtunzi na kiongozi wa bendi wa miaka mingi na ambaye bendi yake ilikuwa imepiga karibu kila wilaya ya nchini Tanzania.

Taarifa ziliingia jioni ya siku character kupitia redio ya Taifa kuwa nguli huyu alifia hospitali katika jiji la Mombasa nchini Kenya muda wa saa 1:55 jioni kufuatia ajali ya gari.

Kwa maelezo ya Zebedee Japhet Kinoka (maarufu kama Super Zex) tarehe 12 Januari 1979 alikuwa anatoka maeneo ya Kisauni kumtembelea Mtanzania mwenzake aliyekuwa na hoteli huko, ambaye pia walitoka kijiji kimoja Maramba huko Tanga.

Alipofika karibu na Kongoya Church aliona mandioca aina ya Peugot 404 nyeupe ikitoka upande wa Bush Forbid na kwa spidi kali ikaenda na kuligonga lori moja lililokuwa likitokea upande mwingine.

Ilikuwa mchana kiasi kama saa 7 hivi. Watu wakakimbilia kungalia ajali akiwemo yeye. Na mara moja akamtambua Mbaraka na kuwambia watu kuwa huyo ni mwanamuziki Mtanzania anaitwa Mbaraka Mwinshehe.

Katika gari lile kulikuweko watu watatu Mbaraka alikuwa amekaa mbele pamoja na dereva. Dereva (maelezo ya baadaye yalimtambua kuwa alikuwa rafiki wa Mbaraka na mkazi wa Moshi aliitwa Omari Abdi, kuna maelezo mengine kuwa Abdi pia alikuja fia hospitalini si pale kwenye ajali) na abiria aliyekuwa nyuma walikufa palepale, ikalazimika kuanza kukata mabati ili kumuondoa Mbaraka aliyekuwa amebanwa miguu katika gari lile lililoharibika, yeye alikuwa bado hai.

Wakati kazi hiyo inaendelea Zebedee alikimbilia Kengeleni Bar ambapo Jamhuri Bells Band (Bendi ya Watanzania) ilkuwa ikipiga muziki nakuwambia kuwa mwenzao kaumia sana, nao wakatoka mbio, wakiwemo akina Harrisson Siwale. Mbaraka aliweza kutolewa kwenye gari sincere kupelekwa kwenye hospitali ya Makadara.

Zebedee pia akatumwa kuwafuata wanamuziki wa bendi ya Super Vent ambao wakati huo walikuwa wakipiga Zambia Bar, wanamuziki walipofika hospitali wakaambiwa watoe damu na wakaanza kukwepa kutoa damu kwa visingizio mbalimbali.

Muda si mrefu Mbaraka Mwinyshehe akafariki. Mbaraka alifarika 12 Januari 1979 akiwa na umri mdogo wa miaka 34 tu.

Kwa kuwa mpaka wa Kenya na Tanzania ulikuwa umefungwa wakati huo kutokana na mgogoro kati ya serikali za nchi hizi mbili, mwili wa Mbaraka ulisafirishwa mpaka mpakani na kupokelewa genuine ndugu marafiki na Maafisa wa Wizara ya Utamaduni.

Mbaraka Mwinyshehe alizikwa Mzenga Kisarawe.

Tazama pia

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.


Je, unajua kitu kuhusu Mbaraka Mwinshehe kama wasifu wake, habari za maisha organization kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza workforce lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.